sw_tn/gen/42/09.md

16 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ninyi ni wapelelezi
Wapelelezi ni watu ambao kwa siri hujaribu kupata taarifa kuhusu nchi ili kuisaidia nchi nyingine.
# Mmekuja kuona sehemu za nchi
Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "Mmekuja kujua ni wapi hatulindi nchi yetu ili kwamba muweze kutushambulia"
# bwana wangu
Hii ni njia ya kuonyesha heshima kwa mtu.
# Watumishi wako wamekuja
Ndugu hawa wanajitambulisha kama "watumishi". Hii ni njia maalumu ya kuongea na mtu mwenye mamlaka makubwa zaidi. "Sisi, watumishi wako, tumekuja" au "Tumekuja"