sw_tn/gen/41/37.md

16 lines
388 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ushauri huu ukawa mwema machoni pa Farao na machoni pa watumishi wake wote
Hapa "machoni" ina maana ya fikra na mawazo ya mtu. "Farao na watumishi wake walifikiri huu ulikuwa mpango mzuri"
# watumishi wake
Hii ina maana ya watumishi wa Farao.
# mtu kama huyu
"mtu kama vile Yusufu alivyomfafanua"
# ambaye ndani yake kuna Roho wa Mungu
"ambaye Roho wa Mungu anaishi ndani mwake"