# Ushauri huu ukawa mwema machoni pa Farao na machoni pa watumishi wake wote Hapa "machoni" ina maana ya fikra na mawazo ya mtu. "Farao na watumishi wake walifikiri huu ulikuwa mpango mzuri" # watumishi wake Hii ina maana ya watumishi wa Farao. # mtu kama huyu "mtu kama vile Yusufu alivyomfafanua" # ambaye ndani yake kuna Roho wa Mungu "ambaye Roho wa Mungu anaishi ndani mwake"