sw_tn/gen/41/04.md

44 lines
931 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wasiopendeza na waliokonda
"dhaifu na nyembamba"
# wanapendeza na walionenepa
"yenye afya na iliyolishwa vizuri"
# akaamka
"aliamshwa"
# mara ya pili
Neno "mara ya pili" ni mpangilio wa namba. "tena"
# Tazama, masuke saba
Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Farao alishangazwa kwa kile alichokiona.
# masuke ya nafaka
Vichwa ni sehemu ya mmea wa mahindi ambao mbegu huota.
# yalichipua katika mche mmoja
"yaliota katika shina moja" Shina ni sehemu nene au ndefu ya mmea.
# katika mche mmoja, mema na mazuri
"katika mche mmoja na ilikuwa yenye afya na nzuri"
# membamba na yaliyokaushwa na upepo wa mashariki
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo ilikuwa nyembamba na kuchomwa kwa sababu ya upepo wa joto kutoka mashariki"
# upepo wa mashariki
Upepo kutoka mashariki ulivuma kutoka jangwani. Joto la upepo wa mashariki mara kwa mara ulikuwa wenye uharibifu.
# yakachipua
"yaliota" au "kukua"