# wasiopendeza na waliokonda "dhaifu na nyembamba" # wanapendeza na walionenepa "yenye afya na iliyolishwa vizuri" # akaamka "aliamshwa" # mara ya pili Neno "mara ya pili" ni mpangilio wa namba. "tena" # Tazama, masuke saba Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Farao alishangazwa kwa kile alichokiona. # masuke ya nafaka Vichwa ni sehemu ya mmea wa mahindi ambao mbegu huota. # yalichipua katika mche mmoja "yaliota katika shina moja" Shina ni sehemu nene au ndefu ya mmea. # katika mche mmoja, mema na mazuri "katika mche mmoja na ilikuwa yenye afya na nzuri" # membamba na yaliyokaushwa na upepo wa mashariki Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo ilikuwa nyembamba na kuchomwa kwa sababu ya upepo wa joto kutoka mashariki" # upepo wa mashariki Upepo kutoka mashariki ulivuma kutoka jangwani. Joto la upepo wa mashariki mara kwa mara ulikuwa wenye uharibifu. # yakachipua "yaliota" au "kukua"