forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
617 B
Markdown
20 lines
617 B
Markdown
|
# unionesha wema
|
||
|
|
||
|
"na tafadhali unioneshe wema kwangu"
|
||
|
|
||
|
# Unitaje kwa Farao na kuniondoa hapa gerezani
|
||
|
|
||
|
Yusufu ana maana ya mnyweshaji kumwambia Farao juu yake ili kwamba Farao amfungulie kutoka gerezani. "Nisaidie kutoka katika gereza hili kwa kumwambia Farao juu yangu"
|
||
|
|
||
|
# Maana hakika nilitekwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Maana hakika watu walinichukua" au "Maana hakika Waishmaeli walinichukua"
|
||
|
|
||
|
# nchi ya Waebrania
|
||
|
|
||
|
"nchi ambayo Waebrania huishi"
|
||
|
|
||
|
# hapa sijafanya chochote kinachonipasa niwekwe gerezani
|
||
|
|
||
|
"na pia nilipokuwa hapa Misri, sijafanya jambo lolote ambalo nastahili kuwekwa gerezani"
|