forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.2 KiB
Markdown
28 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Ikawa baada ya hayo
|
||
|
|
||
|
"Na kwa hiyo". Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya tukio jipya katika simulizi.
|
||
|
|
||
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
"Sikia". Yusufu anatumia neno hili kuvuta nadhari ya mke wa Potifa.
|
||
|
|
||
|
# bwana wangu haangalii chochote nikifanyacho nyumbani
|
||
|
|
||
|
"bwana wangu hajishughulishi juu ya nyumba yake napokuwa msimamizi." Hii inaweza kuandikwa katika hali ya chanya. "bwana wangu ananiamini na nyumba yake"
|
||
|
|
||
|
# ameweka kila kitu anachokimiliki chini ya uangalizi wangu
|
||
|
|
||
|
Kitu kinachokuwa "chini ya uangalizi wa mtu" ina maana ya kwamba mtu huyo anawajibika kutunza na kulinda. "Kwa hiyo Potifa alimweka Yusufu kuwa mwangalizi wa kila kitu ambacho alikuwa nacho"
|
||
|
|
||
|
# Hakuna mtu aliye mkuu katika nyumba hii kuliko mimi
|
||
|
|
||
|
Hapa mwandishi anazungumzia juu ya mamlaka kana kwamba yalikuwa ukubwa. "Nina mamlaka katika nyumba hii kuliko mtu yeyote yule"
|
||
|
|
||
|
# Hajanizuia chochote isipokuwa wewe
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kusemwa katika hali ya chanya. "Amenipatia kila kitu isipokuwa wewe"
|
||
|
|
||
|
# Ni kwa namna gani basi naweza kufanya uovu mkuu namna hii na kumtenda dhambi Mungu?
|
||
|
|
||
|
Yusufu anatumia swali kuonyesha msisitizo. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Hakika siwezi kufanya jambo hili ovu na kutedna dhambi dhidi ya Mungu"
|