sw_tn/gen/38/19.md

24 lines
483 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ushungi
kitambaa chembamba sana kinachotumika kufunika kichwa na uso wa mwanamke.
# vazi la ujane wake
"ambayo wajane huvaa"
# kutoka kundini
"kutoka katika kundi lake"
# Mwadulami
"Adulami" ni jina la kijiji ambapo Hiramu aliishi.
# aichukue rehani
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "chukua rehani"
# kutoka katika mkono wa mwanamke
Hapa "mkono" unasisitiza ya kwamba vilikuwa katika umiliki wake. Mkono wa mwanamke una maana ya mwanamke. "kutoka kwa mwanamke"