# ushungi kitambaa chembamba sana kinachotumika kufunika kichwa na uso wa mwanamke. # vazi la ujane wake "ambayo wajane huvaa" # kutoka kundini "kutoka katika kundi lake" # Mwadulami "Adulami" ni jina la kijiji ambapo Hiramu aliishi. # aichukue rehani Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "chukua rehani" # kutoka katika mkono wa mwanamke Hapa "mkono" unasisitiza ya kwamba vilikuwa katika umiliki wake. Mkono wa mwanamke una maana ya mwanamke. "kutoka kwa mwanamke"