kitambaa chembamba sana kinachotumika kufunika kichwa na uso wa mwanamke.
# na akajifunika
Hii ina maana alijificha kwa nguo yake ili kwamba watu wasiweze kumtambua. Kitamaduni, sehemu za nguo za wanawake zilikuwa kubwa walizojizungushia nazo. "na akajifunika na kitambaa chake ili watu wasiweze kumtambua"
# kando ya njia
"kando ya barabara" au "njiani"
# hakupewa kuwa mke wake
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yuda hakupatiwa kwa Shela kuwa mke"