sw_tn/gen/38/11.md

20 lines
605 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkwewe
2021-09-10 19:21:44 +00:00
mkwewe - "mke wa mwanawe mkubwa"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika nyumba ya baba yako
Hii ina maana ya yeye kuishi katika nyumba ya baba yake. "na kuishi katika nyumba ya baba yako"
# hadi Shela, mwanangu, atakapokuwa
Yuda anakusudia kwa Tamari kuja mumuoa Shela atakapokua mkubwa. "na pale ambapo Shela, mwanangu, atakapokua, ataweza kukuoa"
# Shela
Hili ni jina la mmoja wa wana wa Yuda.
# Kwani aliogopa, "Asije akafa pia, kama nduguze
Yuda aliogopa ya kwamba iwapo Shela atamuoa Tamari angekufa pia kama kaka zake walivyokufa. "Kwa maana alihofia, 'akimuoa na yeye angeweza kufa kama kaka zake walivyokufa"