# mkwewe mkwewe - "mke wa mwanawe mkubwa" # katika nyumba ya baba yako Hii ina maana ya yeye kuishi katika nyumba ya baba yake. "na kuishi katika nyumba ya baba yako" # hadi Shela, mwanangu, atakapokuwa Yuda anakusudia kwa Tamari kuja mumuoa Shela atakapokua mkubwa. "na pale ambapo Shela, mwanangu, atakapokua, ataweza kukuoa" # Shela Hili ni jina la mmoja wa wana wa Yuda. # Kwani aliogopa, "Asije akafa pia, kama nduguze Yuda aliogopa ya kwamba iwapo Shela atamuoa Tamari angekufa pia kama kaka zake walivyokufa. "Kwa maana alihofia, 'akimuoa na yeye angeweza kufa kama kaka zake walivyokufa"