forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Yusufu anaeleza kaka zake kuhusu ndoto yake.
|
||
|
|
||
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
Neno la "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa ya kushangaza inayofuata.
|
||
|
|
||
|
# tulikuwa
|
||
|
|
||
|
Neo "tulikuwa" ina maana ya Yusufu na inajumuisha kaka zake wote.
|
||
|
|
||
|
# tukifunga miganda ya nafaka
|
||
|
|
||
|
Nafaka inapovunwa inafungwa katika makundi na kupangwa katika rundo hadi muda wa kuzitenga nafaka kutoka kwa majani makavu.
|
||
|
|
||
|
# na tazama
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Yusufu alishangazwa na kile alichokiona.
|
||
|
|
||
|
# mganda wangu ukainuka na kusimama wima ... miganda yenu ikasogea na kuuinamia mganda wangu
|
||
|
|
||
|
Hapa miganda ya nafaka inasimama wima na kupiga magoti kana kwamba ilikuwa watu. Miganda hii inawakilisha Yusufu na kaka zake.
|
||
|
|
||
|
# Je ni kweli utatutawala? Je utatutawala juu yetu?
|
||
|
|
||
|
Misemo hii miwili ina maana moja. Kaka zake Yusufu wanatumia swali kumkejeli Yusufu. Inaweza kuandikwa kama kauli. "Hutaweza kuwa mfalme wetu, na hatutainama chini kwako!"
|
||
|
|
||
|
# utatutawala juu yetu
|
||
|
|
||
|
Neno la "yetu" lina maana ya kaka zake Yusufu lakini sio Yusufu.
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili ya ndoto zake na maneno yake
|
||
|
|
||
|
"kwa sababu ya ndoto yake na kile alichokisema"
|