sw_tn/gen/37/05.md

12 lines
306 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yusufu akaota ndoto, na akawambia ndugu zake. Wakamchukia zaidi
Huu ni ufupi wa matukio ambayo yatatokea katika 37:6-11.
# Wakamchukia zaidi
"Na kaka zake Yusufu walimchukia zaidi ya walivyomchukia hapo awali"
# Tafadhari sikilizeni ndoto hii niliyoiota
"Tafadhali sikilizeni ndoto hii niliyoipata"