# Yusufu akaota ndoto, na akawambia ndugu zake. Wakamchukia zaidi Huu ni ufupi wa matukio ambayo yatatokea katika 37:6-11. # Wakamchukia zaidi "Na kaka zake Yusufu walimchukia zaidi ya walivyomchukia hapo awali" # Tafadhari sikilizeni ndoto hii niliyoiota "Tafadhali sikilizeni ndoto hii niliyoipata"