sw_tn/gen/36/37.md

28 lines
740 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Samla
Hili ni jina la mwanamume.
# kisha Shauli wa Rehobothi kando ya mto alitawala mahali pake
Shauli aliishi Rehobothi. Rehobothi ilikuwa karibu na Mto Frati. Taarifa hii inaweza kuwekwa wazi. "kisha Shauli akatawala katika nafasi yake. Alikuwa akitoka Rehobothi ambayo ipo karibu na Mto Frati"
# Shauli ... Baali Hanani ... Akbori ... Hadari ... Matredi ... Me Zahabu.
Haya ni majina ya wanamume.
# Rehobothi ... Pau
Haya ni majina ya mahali.
# Jina la mji wake
Hii ina maana ya kwamba huu ulikuwa mji ambao aliishi. "Jina la mji ambao aliishi"
# binti wa Matredi, mjukuu wa Me Zahabu.
Taarifa ambayo haionekani inaweza kuongezwa. "alikuwa binti wa Matredi, na mjukuu wa Me Zahabu"
# Mehetabeli
Hili ni jina la mwanamke.