# Samla Hili ni jina la mwanamume. # kisha Shauli wa Rehobothi kando ya mto alitawala mahali pake Shauli aliishi Rehobothi. Rehobothi ilikuwa karibu na Mto Frati. Taarifa hii inaweza kuwekwa wazi. "kisha Shauli akatawala katika nafasi yake. Alikuwa akitoka Rehobothi ambayo ipo karibu na Mto Frati" # Shauli ... Baali Hanani ... Akbori ... Hadari ... Matredi ... Me Zahabu. Haya ni majina ya wanamume. # Rehobothi ... Pau Haya ni majina ya mahali. # Jina la mji wake Hii ina maana ya kwamba huu ulikuwa mji ambao aliishi. "Jina la mji ambao aliishi" # binti wa Matredi, mjukuu wa Me Zahabu. Taarifa ambayo haionekani inaweza kuongezwa. "alikuwa binti wa Matredi, na mjukuu wa Me Zahabu" # Mehetabeli Hili ni jina la mwanamke.