forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
672 B
Markdown
24 lines
672 B
Markdown
|
# Hamori ... akaenda kuongea na Yakobo
|
||
|
|
||
|
"Hamori ... akaenda kuongea na Yakobo"
|
||
|
|
||
|
# Watu hawa walichukizwa
|
||
|
|
||
|
"Wanamume walikasirika"
|
||
|
|
||
|
# Walikasirika sana ... halikupasa kutendeka
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuwekwa kama nukuu ya moja kwa moja iliyozungumzwa na wana wa Yakobo.
|
||
|
|
||
|
# amemwaibisha Israeli
|
||
|
|
||
|
Hapa neno la "Israeli" lina maana ya kila mtu katika familia ya Yakobo. Israeli kama kundi la watu liliabishwa."ameabisha familia ya Israeli" au "ameleta aibu juu ya watu wa Israeli"
|
||
|
|
||
|
# kumlazimisha binti wa Yakobo
|
||
|
|
||
|
"kumvamia binti wa Yakobo"
|
||
|
|
||
|
# kwa maana jambo kama hilo halikupasa kutendeka
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kwa maana hakupaswa kufanya jambo baya kama hilo"
|