sw_tn/gen/33/15.md

20 lines
504 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini kufanya hivyo?
Yakobo anatumia swali kuweka msisitizo ya kwamba Esau hahitaji kubakiza wanamume. "Usifanye hivyo!" au "Hahitaji kufanya hivyo!"
# Bwana wangu amekuwa
Hii ni njia ya upole na maalumu ya kumaanisha Esau. "Wewe, bwana wangu, umekuwa"
# Sukothi
"Jina la Sukothi lina maana ya "hifadhi".
# akajijengea nyumba
Inasemekana ya kwamba nyumba ni ya familia yake pia. "alijenga nyumba kwa ajili yake mwenyewe na familia yake"
# kwa ajili ya mifugo wake
"kwa wanyama aliowatunza"