# Kwa nini kufanya hivyo? Yakobo anatumia swali kuweka msisitizo ya kwamba Esau hahitaji kubakiza wanamume. "Usifanye hivyo!" au "Hahitaji kufanya hivyo!" # Bwana wangu amekuwa Hii ni njia ya upole na maalumu ya kumaanisha Esau. "Wewe, bwana wangu, umekuwa" # Sukothi "Jina la Sukothi lina maana ya "hifadhi". # akajijengea nyumba Inasemekana ya kwamba nyumba ni ya familia yake pia. "alijenga nyumba kwa ajili yake mwenyewe na familia yake" # kwa ajili ya mifugo wake "kwa wanyama aliowatunza"