sw_tn/gen/32/31.md

20 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndiyo maana wana hadi siku ya leo
Hii inafanya mabadiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu vizazi vya Israeli.
# hadi siku ya leo
Hii ina maana siku ambayo mwandishi alikuwa akiandika hivi.
# kano za nyonga
Hii ina maana ya msuri unaonganisha mfupa wa paja na kiungo cha paja.
# kiungo cha nyonga
"kiungo cha paja"
# alipotegua
"alipokuwa akipiga"