# Ndiyo maana wana hadi siku ya leo Hii inafanya mabadiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu vizazi vya Israeli. # hadi siku ya leo Hii ina maana siku ambayo mwandishi alikuwa akiandika hivi. # kano za nyonga Hii ina maana ya msuri unaonganisha mfupa wa paja na kiungo cha paja. # kiungo cha nyonga "kiungo cha paja" # alipotegua "alipokuwa akipiga"