sw_tn/gen/32/22.md

16 lines
237 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wajakazi wake wawili
"watumishi wake wawili wake zake". Hii ina maana ya Zilpa na Bilha.
# kijito
sehemu ya kina kifupi ya mto ambayo ni rahisi kuvuka.
# Yaboki
Hili ni jina la mto.
# mali yake yote
"kila kitu alichokuwa nacho"