# wajakazi wake wawili "watumishi wake wawili wake zake". Hii ina maana ya Zilpa na Bilha. # kijito sehemu ya kina kifupi ya mto ambayo ni rahisi kuvuka. # Yaboki Hili ni jina la mto. # mali yake yote "kila kitu alichokuwa nacho"