forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
457 B
Markdown
20 lines
457 B
Markdown
|
# mia mbili
|
||
|
|
||
|
"200"
|
||
|
|
||
|
# ishirini ... thelathini ... arobaini ... kumi
|
||
|
|
||
|
"20 ... 30 ... 40 ... 10"
|
||
|
|
||
|
# na wana wao
|
||
|
|
||
|
"na watoto wao"
|
||
|
|
||
|
# Akawaweka katika mikono ya watumishi wake, kila kundi peke yake.
|
||
|
|
||
|
Hapa "katika mikono" ina maana ya kutoa mamlaka juu yao. "Aliwagawa katika makundi madogo, na kuwapa kila mmoja wa watumishi wake mamlaka juu ya makundi"
|
||
|
|
||
|
# mwache nafasi kati ya makundi ya wanyama
|
||
|
|
||
|
"na kila kundi lisafiri kwa umbali kutoka kwa kundi lingine"
|