sw_tn/gen/31/48.md

24 lines
602 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Rundo hili ni shahidi kati yangu nawe leo
Mawe hayawi mashahidi halisi kwa ajili ya mtu. "Rundo hili litakuwa ukumbusho kati yangu na wewe"
# Galedi
"Jina la Galedi lina maana ya "fungu la mashahidi" kwa lugha ya Yakobo.
# Mispa
"Jina la Mispa lina maana ya "mnara".
# tunapokuwa hatuonani
Hapa "nje ya macho" ina maana ya kutokuwa machoni pa mwenzako. "tutakapokuwa hatupo machoni mwetu sisi wawili"
# japokuwa hakuna mwingine yupo nasi
Hapa "nasi" ina maana ya Labani na Yakobo. "hata kama hakuna mtu wa kutuona"
# tazama
"kumbuka". Hii inaongeza msisitizo kwa kile kinachosemwa baadae.