forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
844 B
Markdown
24 lines
844 B
Markdown
|
# Akamwambia
|
||
|
|
||
|
"Yakobo alimwambia Labani"
|
||
|
|
||
|
# Kosa langu ni nini? Dhambi yangu ni ipi, hata ukanifuatia kwa ukali?
|
||
|
|
||
|
Misemo ya "Kosa langu ni nini" na "Dhambi yangu ni ipi" zina maana moja. Yakobo anamuuliza Labani amwambie ni kipi alichokosea. "Kosa langu ni lipi mpaka unifuate namna hii?"
|
||
|
|
||
|
# ukanifuatia kwa ukali
|
||
|
|
||
|
Hapa neno la "ukali" ina maana ya Labani kumfukuza kwa haraka kwa lengo la kumkamata.
|
||
|
|
||
|
# Umeona nini kati ya kitu chochote cha nyumbani mwako
|
||
|
|
||
|
"Umepata nini ambacho ni cha kwako?"
|
||
|
|
||
|
# Viweke hapa mbele ya ndugu zetu
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "zetu" ina maana ya ndugu wa Yakobo na inajumuisha ndugu wa Labani. "Laza chochote ulichokuta mbele ya ndugu zetu"
|
||
|
|
||
|
# waamue kati yetu wawili
|
||
|
|
||
|
Hapa "yetu wawili" ina maana ya Yakobo na Labani. Msemo "waamue kati" ina maana ya kuamua mtu yupi yupo sahihi katika ugomvi huu. "wanaweza kuhukumu kati yetu"
|