forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.2 KiB
Markdown
32 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Raheli na Lea wakajibu na kumwambia
|
||
|
|
||
|
Hii haimaanishi walizungumza katika wakati mmoja. Inasisitiza ya kwamba walikubaliana wao kwa wao.
|
||
|
|
||
|
# Je kuna sehemu yoyote au urithi wetu katika nyumba ya baba yetu?
|
||
|
|
||
|
Raheli na Lea wanatumia swali kusisitiza ya kwamba hakuna kitu kilichosalia kutoka kwa baba yao kuwapatia. "Hakuna kitu chochote kabisa kilichobaki kwa ajili yetu kurithi kutoka kwa baba yetu!"
|
||
|
|
||
|
# Je hatutendei kama wageni?
|
||
|
|
||
|
Wanatumia swali kuonyesha hasira yao kuhusu jinsi baba yao anavyowatendea. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Baba yetu anatutendea kama wanawake wageni badala ya binti zake!"
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana ametuuza na kwa ujumla ametapanya pesa zetu. 16Mali zote
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuwekwa kwa uwazi zaidi. "Ametuuza kwa manufaa yake mwenyewe"
|
||
|
|
||
|
# na kwa ujumla ametapanya pesa zetu
|
||
|
|
||
|
Labani kutumia fedha yote ambayo alipaswa kuwapatia binti zake inazungumziwa kana kwamba alikuwa mnyama pori aliyekula fedha yote kana kwamba ilikuwa chakula. "alitumia fedha yetu yote"
|
||
|
|
||
|
# na sasa ni zetu na watoto wetu
|
||
|
|
||
|
"inakuwa ya kwetu na watoto wetu"
|
||
|
|
||
|
# Sasa basi
|
||
|
|
||
|
Hapa "sasa" haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata.
|
||
|
|
||
|
# lolote Mungu alilokuambia, fanya
|
||
|
|
||
|
"fanya yote ambayo Mungu alikuambia kufanya"
|