forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
588 B
Markdown
20 lines
588 B
Markdown
|
# Yakobo akamwambia
|
||
|
|
||
|
"Yakobo alimwambia Labani"
|
||
|
|
||
|
# jinsi ambavyo mifugo wako wamekuwa nami
|
||
|
|
||
|
"jinsi mifugo wako walivyokuwa vizuri tangu nimeanza kuwatunza"
|
||
|
|
||
|
# Kwani walikuwa wachache kabla sijaja
|
||
|
|
||
|
"mifugo wako walikuwa wadogo kabla sijakutumikia"
|
||
|
|
||
|
# na wameongezeka kwa wingi
|
||
|
|
||
|
"lakini sasa utajiri wako umeongezeka sana"
|
||
|
|
||
|
# Je ni lini mimi nitaandaa kwa ajili ya nyumba yangu pia?
|
||
|
|
||
|
"Basi ni lini nitatunza familia yangu?" Yakobo anatumia swali kuweka msisitizo ya kwamba anataka kujitoa kwa familia yake. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "basi ninataka kutunza familia yangu!"
|