sw_tn/gen/30/27.md

28 lines
578 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Labani akamwambia
"Labani akamwambia Yakobo"
# Ikiwa nimepata kibali machoni pako
Msemo wa "machoni pako" ni lugha inayomaanisha mawazo na maoni ya Yakobo. Iwapo nimepata kibali na wewe" au "Iwapo unapendezwa na mimi"
# nimepata kibali
Hii ni lahaja yenye maana ya mtu amekubalika na mtu mwingine.
# subiri, kwa sababu
"tafadhali kaa, kwa sababu"
# nimejifunza kwa kutumia uaguzi
"Nimegundua kwa desturi yangu ya kiroho na uchawi"
# kwa ajili yako
"kwa sababu yako"
# Taja ujira wako
Hii inaweza kuwekwa wazi. "Niambie nahitaji kukulipa kiasi gani kukuweka hapa"