sw_tn/gen/30/25.md

12 lines
306 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baada ya Raheli kumzaa Yusufu
"Baada ya Raheli kumzaa Yusufu"
# na uniache niondoke
"ili niondoke"
# unafahamu nilivyokutumikia
Yakobo anamkumbusha Labani kuhusu mkataba wake (29:26) Nomino inayojitegemea "huduma" inaweza kusemwa kama "kutumika". "unafahamu ya kwamba nimekutumikia muda wa kutosha"