# Baada ya Raheli kumzaa Yusufu "Baada ya Raheli kumzaa Yusufu" # na uniache niondoke "ili niondoke" # unafahamu nilivyokutumikia Yakobo anamkumbusha Labani kuhusu mkataba wake (29:26) Nomino inayojitegemea "huduma" inaweza kusemwa kama "kutumika". "unafahamu ya kwamba nimekutumikia muda wa kutosha"