sw_tn/gen/29/31.md

28 lines
721 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lea hakupendwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yakobo hakumpenda Lea"
# hakupendwa
Hii ni kuza jambo kusisitiza kuwa Yakobo alimpenda Raheli zaidi ya Lea. "alimpenda kwa uhafifu kuliko Raheli"
# hivyo akalifungua tumbo lake
Mungu kumsababisha Lea kuwa na uwezo wa kuwa na mimba inazungumziwa kama kwamba Mungu alifungua tumbo lake.
# hakuwa na mtoto
"hakuweza kuwa mjamzito"
# Lea akashika mimba na kuzaa mwana
"Lea alipata mimba na kumzaa mwana wa kiume"
# naye akamwita Rubeni
Jina Rubeni linamaanisha "Tazama, mwana wa kiume."
# Yahwe ameliangalia teso langu
Lea alipitia uchungu wa hisia kwa sababu Yakobo alimkataa.. Nomino "teso" inaweza kuwekwa kama kitenzi. "Yahwe aliona kuwa nateseka"