sw_tn/gen/28/10.md

8 lines
229 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Simulizi inabadilika kurudi kwa Yakobo
# Akaja mahali fulani na akakaa pale usiku kucha, kwa kuwa jua lilikuwa limekuchwa
"Akaja katika eneo fulani na kwa sababu jua lilikuwa limezama, aliamua kukaa usiku"