# Taarifa ya Jumla: Simulizi inabadilika kurudi kwa Yakobo # Akaja mahali fulani na akakaa pale usiku kucha, kwa kuwa jua lilikuwa limekuchwa "Akaja katika eneo fulani na kwa sababu jua lilikuwa limezama, aliamua kukaa usiku"