sw_tn/gen/26/19.md

16 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maji yaliyokuwakuwa yakibubujika
Msemo huu una maana ya chemichemi ya maji ya asili waliyofunua walipokuwa wakichimba kisima kipya. Ilitoa maji safi ya muendelezo kwa ajili ya kunywa.
# Wachungaji
"wanamume wanaotunza mifugo"
# Haya ni maji yetu
Hapa "yetu" ina maana ya wafugaji wa Gerari"
# Eseki
Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi mafupi yanayosema "Jina la Eseki lina maana ya "malumbano" au "mabishano".