# maji yaliyokuwakuwa yakibubujika Msemo huu una maana ya chemichemi ya maji ya asili waliyofunua walipokuwa wakichimba kisima kipya. Ilitoa maji safi ya muendelezo kwa ajili ya kunywa. # Wachungaji "wanamume wanaotunza mifugo" # Haya ni maji yetu Hapa "yetu" ina maana ya wafugaji wa Gerari" # Eseki Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi mafupi yanayosema "Jina la Eseki lina maana ya "malumbano" au "mabishano".