sw_tn/gen/26/01.md

16 lines
401 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi
Neno hili linatumika kuweka alama kwa sehemu mpya ya simulizi.
# njaa ikatokea
"kukawa na njaa" au "kukawa na njaa nyingine"
# katika nchi
Unaweza kusema wazi ya kwamba nchi inayozungumziwa. "katika nchi ambayo Isaka na familia yake waliishi"
# iliyotokea siku za Ibrahimu
Msemo "katika siku" ina maana ya wakati ambapo Abrahamu alikuwa hai. "ambayo ilitokea wakati wa uhai wa Abrahamu"