# Basi Neno hili linatumika kuweka alama kwa sehemu mpya ya simulizi. # njaa ikatokea "kukawa na njaa" au "kukawa na njaa nyingine" # katika nchi Unaweza kusema wazi ya kwamba nchi inayozungumziwa. "katika nchi ambayo Isaka na familia yake waliishi" # iliyotokea siku za Ibrahimu Msemo "katika siku" ina maana ya wakati ambapo Abrahamu alikuwa hai. "ambayo ilitokea wakati wa uhai wa Abrahamu"