sw_tn/gen/24/17.md

20 lines
480 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kumlaki yule msichana
"kukutana na yule msichana"
# maji kidogo
"maji kiasi"
# mtungi
chombo cha ukubwa wa kati kilichoundwa na udongo kinachotumika kubeba na kumwaga vimiminikio.
# bwana wangu,
"bwana". Hapa mwanamke anatumia msemo huu wa heshima kwa mwanamume, ingawa yeye sio mtumwa wake.
# kwa haraka akatua mtungi wake juu ya mkono wake
"alishusha mtungi wake haraka". Alikuwa akibeba mtungi juu ya bega lake. Ilimbidi ahushe ili apate maji kwa ajili ya mtumishi.