forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Makpela
|
||
|
|
||
|
Makpela lilikuwa jina la eneo au mahali.
|
||
|
|
||
|
# Mamre
|
||
|
|
||
|
Hii ilikuwa jina jingine kwa mji wa Hebroni. Inawezekana iliitwa baada ya Mamre, rafiki yake Abrahamu aliyeishi pale"
|
||
|
|
||
|
# shamba pamoja na pango lililokuwamo ndani yake na miti yote
|
||
|
|
||
|
Msemo huu unafafanua kile ambacho mwandishi alimaanisha alipoandika "shamba la Efroni". Halikuwa shamba tu, lakini pia pango na miti katika shamba.
|
||
|
|
||
|
# kwa Abraham kwa njia ya manunuzi
|
||
|
|
||
|
"ikawa mali ya Abrahamu alipoinunua" au "ikawa ya Abrahamu baada ya kuinunua"
|
||
|
|
||
|
# mbele ya wana wa Hethi
|
||
|
|
||
|
Hapa "mbele ya" ina maana ya watu kutumika kama mashahidi. "pamoja na watu wa Hethi wakitazama kama mashahidi"
|
||
|
|
||
|
# wana wa Hethi
|
||
|
|
||
|
Hapa "wana" ina maana ya wale amabo wametoka kwa Hethi. "uzao wa Hethi"
|
||
|
|
||
|
# wote waliokuja malangoni pa mji wake
|
||
|
|
||
|
Hii inaeleza ni wana wapi wa Hethi waliomwona Abrahamu akinunua mali ile. "wale wote waliokusanyika langoni mwa mji"
|
||
|
|
||
|
# malangoni pa mji wake
|
||
|
|
||
|
Malango ya mji palikuwa pale ambapo viongozi wa mji walikutana kufanya maamuzi muhimu.
|
||
|
|
||
|
# mji wake
|
||
|
|
||
|
"mji aliokuwa akiishi". Msemo huu unaonyesha Efroni alikuwa wa mji ule. Haimaanishi ya kwamba aliumiliki.
|