sw_tn/gen/22/07.md

28 lines
516 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baba yangu
Hii ni njia ya upendo ya mwana kuongea kwa baba yake.
# Nipo hapa
"Ndio, nasikiliza" au "Ndio, kuna nini?"
# Mwanangu
Hii ni njia ya upendo ya baba kuongea kwa mwanawe.
# moto
Hapa "moto" ina maana ya sufuria yenye mkaa unaowaka au tochi au taa. "kitu cha kuanzishia moto"
# mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa
"mwanakondoo ambaye utamtoa kama sadaka wa kuteketezwa"
# Mungu mwenyewe
Hapa "mwenyewe" inasisitiza ya kwamba Mungu atatoa mwanakondoo.
# atatupatia
"atatupatia sisi"