# Baba yangu Hii ni njia ya upendo ya mwana kuongea kwa baba yake. # Nipo hapa "Ndio, nasikiliza" au "Ndio, kuna nini?" # Mwanangu Hii ni njia ya upendo ya baba kuongea kwa mwanawe. # moto Hapa "moto" ina maana ya sufuria yenye mkaa unaowaka au tochi au taa. "kitu cha kuanzishia moto" # mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa "mwanakondoo ambaye utamtoa kama sadaka wa kuteketezwa" # Mungu mwenyewe Hapa "mwenyewe" inasisitiza ya kwamba Mungu atatoa mwanakondoo. # atatupatia "atatupatia sisi"