sw_tn/gen/21/05.md

20 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mia moja
"100"
# Mungu amenifanya nicheke
Sara alikuwa akicheka kwa sababu alishangazwa na alikuwa na furaha. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Mungu alinisababisha nicheke kwa furaha"
# kila mtu atakaye sikia
Kile ambacho watu wangesikia kinaweza kuwekwa wazi. "kila mtu asikiaye kuhusu kile Mungu amefanya kwangu"
# Nani angesema kwa Abraham kwamba Sara atalea mtoto
Hili swali la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hakuna ambaye angeweza kusema kwa Abrahamu ya kwamba Sara atalea watoto"
# atalea mtoto
Hii ni lugha ya upole ikimaanisha kunyonyesha watoto. "mnyonyeshe mtoto maziwa yake mwenyewe"