forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
779 B
Markdown
32 lines
779 B
Markdown
|
# Yahwe akamsikiliza Sara
|
||
|
|
||
|
Hapa msemo "kumsikiliza" una maana ya Yahwe kumsaidia Sara kupata mtoto. "Yahwe alimsaidia Sara"
|
||
|
|
||
|
# akamzalia Abrahamu mtoto wa kiume
|
||
|
|
||
|
"akamzaa mtoto wa kiume wa Abrahamu"
|
||
|
|
||
|
# katika uzee wake
|
||
|
|
||
|
"Abrahamu alipokuwa mzee sana"
|
||
|
|
||
|
# katika muda ule ule ambao Mungu alikuwa amemwambia
|
||
|
|
||
|
"katika muda haswa ambao Mungu alimwambia ingekuja kutokea"
|
||
|
|
||
|
# Abrahamu alimuita mwanawe wa kiume, yule ambaye alizaliwa kwake, ambaye Sara alimzaa, Isaka
|
||
|
|
||
|
"Abrahamu alimuita mtoto wake wa kiume, yule ambaye Sara alimzaa, Isaka" au "Abrahamu alimuita mtoto wao wa kiume Isaka"
|
||
|
|
||
|
# Abrahamu akamtahiri mwanawe Isaka alipofikisha siku nane
|
||
|
|
||
|
"Mwanae Isaka alipofikisha umri wa siku nane, Abrahamu alimtahiri"
|
||
|
|
||
|
# siku nane
|
||
|
|
||
|
"siku 8"
|
||
|
|
||
|
# amemwagiza
|
||
|
|
||
|
"alimuamuru Abrahamu kufanya"
|