forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
700 B
Markdown
24 lines
700 B
Markdown
|
# Yule wa kwanza
|
||
|
|
||
|
"Binti wa kwanza wa Lutu" au "Binti mkubwa"
|
||
|
|
||
|
# yule mdogo
|
||
|
|
||
|
"Binti mdogo" au "mdogo wake"
|
||
|
|
||
|
# kulingana na desturi ya dunia yote
|
||
|
|
||
|
Hapa "dunia" ina maana ya watu. "kama watu sehemu zote hufanya"
|
||
|
|
||
|
# kunywa mvinyo
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa uwazi ya kwamba lengo lao lilikuwa kumfanya alewe. "kunywa mvinyo hadi alewe" au "alewe kwa mvinyo".
|
||
|
|
||
|
# ili kwamba tuendeleze uzao wa baba yetu
|
||
|
|
||
|
Hii inazungumzia kuhusu kumpatia Lutu uzao kana kwamba familia yake ilikuwa na mtiririko mrefu. "ili kwamba tuweze kuzaa watoto ambao watakuwa uzao wa baba yetu"
|
||
|
|
||
|
# hakujua ni wakati gani alikuja kulala, wala wakati alipo amka
|
||
|
|
||
|
"hakujua chochote kuhusu hili" au "hakujua ya kwamba alilala pamoja naye"
|