sw_tn/gen/17/19.md

32 lines
918 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hapana, Sarai mkeo atakuzalia
Mungu alisema hili kusahisha imani ya Abrahamu juu ya Sarai kupata mtoto.
# utamwita jina lake
Neno "utamwita" linamlenga Abrahamu.
# Na kwa habari ya Ishmaeli
Maneno "na kwa habari" yanaonyesha ya kwamba Mungu anabadilisha maongezi kuhusu mtoto ambaye angezaliwa na kumuongelea Ishmaeli.
# Tazama
"Angalia" au "Sikiliza" au "Sikiliza kwa makini kwa kile nachotaka kukuambia"
# nitamfanya kuwa na uzao
Hii ni lahaja inayokuwa na maana ya "nitamsababisha awe na watoto wengi"
# na kumzidisha maradufu
"na nitamsababisha awe na uzao mwingi"
# viongozi wa makabila
"machifu" au "watawala". Hawa viongozi sio wana kumi na mbili na wajukuu wa Yakobo ambao wataongoza makabila kumi na mbili ya Israeli.
# Lakini agano langu nitalifanya imara na Isaka
Mungu anarudi kuongelea juu ya agano lako na Abrahamu na kusisitiza ya kwamba atatimiza ahadi yake na Isaka, na sio Ishmaeli.