sw_tn/gen/15/12.md

20 lines
310 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abramu akalala usingizi
Hii ni lahaja. "Abrahamu alilala usingizi mzito"
# giza zito na la kutisha
"giza kubwa sana lililomtisha"
# ikamfunika
"ikamzunguka"
# wageni
"wageni"
# watatumikishwa na kuteswa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na wamiliki wa nchi ile watawatumikisha na kuwatesa"