# Abramu akalala usingizi Hii ni lahaja. "Abrahamu alilala usingizi mzito" # giza zito na la kutisha "giza kubwa sana lililomtisha" # ikamfunika "ikamzunguka" # wageni "wageni" # watatumikishwa na kuteswa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na wamiliki wa nchi ile watawatumikisha na kuwatesa"