sw_tn/gen/15/04.md

28 lines
654 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha, tazama
Neno "tazama" linasisitiza ukweli ya kwamba neno la Yahwe lilikuja kwa Abrahamu tena.
# neno la Yahwe likaja
Lugha hii ina maana ya kuwa Mungu alizungumza. "Yahwe alizungumza ujumbe wake"
# neno la Yahwe
Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Yahwe. "Ujumbe wa Yahwe"
# Mtu huyu
Hii ina maana ya Eliezeri wa Dameski.
# atakaye toka katika mwili wako ndiye
"yule utakayekuwa baba yake" au "mwana wako kabisa". Mwana wa Abramu atakuwa mrithi wake.
# uzihesabu nyota
"hesabu nyota"
# ndivyo uzao wako utakavyokuwa
Kama vile Abramu atavyoshindwa kuhesabu nyota zote, hataweza kuhesabu uzao wake wote kwa sababu utakuwa mwingi sana.